Waasi wa M23 wakataa kushiriki katika mazungumzo ya Luanda na serikali ya DR Congo

Mazungumzo baina ya waasi wa M23 na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), yaliyopangwa kufanyika leo Jumanne huko Luanda, mji mkuu wa Angola, yamekwama baada ya kundi hilo la waasi kusema halitoshiriki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *