WAARABU KUMNG’OA TSHABALALA SIMBA? WAWILI WAJISALIMISHA KWA OFA NONO, MENEJA AFICHUA SIRI KUBWA


PRIME

Simba ikae chonjo, Tshabalala awatikisa Waarabu

MECHI 10 zilizobaki za Simba mzimu huu zinaendelea kuwaumiza viongozi wa klabu hiyo wakipiga hesabu za namna ya kuzicheza ili wabebe ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, huku kukiwa na mambo kibao…