Waafrika Kusini ‘weupe’ wakataa ‘ofa’ ya kuwa wakimbizi Marekani

Raia wa Afrika Kusini wenye asili ya Uholanzi na nchi nyingine za Ulaya wamepuuzilia mbali mwito wa Rais Donald Trump, wa kwenda kuwa wakimbizi nchini Marekani, kwa madai ya kubaguliwa nchini Afrika Kusini.