VIWANDA NA BIASHARA YAOMBA KUIDHINISHIWA BILIONI 135

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akiwasilisha leo Mei 14,2025 bungeni jijini Dodoma makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025-2026.
Na.Alex Sonna-DODOMA
KATIKA mwaka 2025/2026, Wizara ya Viwanda na Biashara imeomba  kutengewa jumla ya shilingi bilioni 135,788,232,000.
Akiwasilisha bungeni leo Mei 14,2025 makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025-2026.
Waziri wa Wizara hiyo,Mhe.Dkt.Selemani Jafo amesema kati ya fedha hizo, shilingi 93,900,697,000 ni matumizi ya kawaida, na shilingi 41,887,535,000 ni matumizi ya Maendeleo.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akiwasilisha leo Mei 14,2025 bungeni jijini Dodoma makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025-2026.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akiwasilisha leo Mei 14,2025 bungeni jijini Dodoma makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025-2026.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akiwasilisha leo Mei 14,2025 bungeni jijini Dodoma makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025-2026.

The post VIWANDA NA BIASHARA YAOMBA KUIDHINISHIWA BILIONI 135 appeared first on Mzalendo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *