Vita vya ushuru vya Trump: Scholz aapa kujibu mapiga papo hapo

Kansela wa Ujerumani ameonya kwamba iwapo Marekani itaweka ushuru wa ziada kwa bidhaa za Umoja wa Ulaya (EU), watu wa Ulaya watajibu mapigo “ndani ya saa moja.”