Vita vya Sudan: BBC imepenyeza simu katika mji wa el-Fasher ili kufichua njaa na hofu

Kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara, mji wa el-Fasher umetengwa na ulimwengu wa nje kwa mwaka mzima, na hivyo kufanya kuwa vigumu kwa waandishi wa habari kuingia.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *