Vita vya Gaza: Mamia waandamana Gaza dhidi ya Hamas

Mamia ya watu wameandamana Gaza, wakitaka vita vikomeshwe na Hamas ijiuzulu kutoka madarakani, katika maandamano makubwa zaidi dhidi ya vuguvugu la Wapalestina linalodhibiti Ukanda huo kuwahi kushuhudiwa tangu vita vilipoanza Oktoba 7, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *