Vita baina ya Marekani na Canada sasa vyaingia michezoni; wimbo wa taifa wa Marekani wazomewa

Mashabiti wa michezo wa Canada wamekuwa wakizomea wimbo wa taifa wa Marekani kila unapopigwa katika mechi mbalimbali ikiwa ni kuonesha hasira zao kwa amri ya rais wa Marekani Donald Trump ya kutozwa ushuru mkubwa bidhaa zinazoingizwa Marekani kutokea Canada.