Virusi vya Marburg ni nini?

Mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ugonjwa wa Marburg umewaua watu wanane katika Mkoa wa Kagera Kaskazini magharibi mwa Tanzania, Shirika la Afya Duniani (WHO), limesema.