Viongozi watoa maoni mseto Kenya baada ya Raila Odinga kushindwa AUC

Viongozi nchini Kenya watoa maoni yenye hisia mseto juu ya uchaguzi wa AUC huku mgombea wa uenyeketi kutoka nchini humo Raila Odinga akishindwa na mgombea wa Djibouti Mahamoud Ali Youssouf.