Viongozi wa Ulaya wakusanyika London kwa mkutano muhimu kuhusu vita na usalama wa Ukraine

Baada ya majibizano yaliyoshuhudiwa katika ikulu ya White House, Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer atakuwa mwenyeji wa viongozi kutoka mataifa mbali mbali ya Ulaya na Canada.