Vikosi vya Yemen vimeidungua ndege isiyo na rubani ya Marekani MQ-9

Jeshi la Yemen limeitungua ndege isiyo na rubani ya MQ-9 ya Marekani wakati ilipokuwa inafanya mashambulizi ya kiuadui katika anga ya mkoa wa Hodeidah. Hiyo ni droni ya 17 kutunguliwa na Jeshi la Yemen kama sehemu ya vita vitakatifu vya Jihad vya kuwaunga mkono wananchi wa Ghaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *