Vikosi vya usalama vya Syria vyashtumiwa kuwaua mamia ya raia

Kundi la kutetea haki za binadamu la Syria lenye makao makuu yake nchini Uingereza limesema raia zaidi ya 700 wameuawa katika kipindi cha saa 48.