Vikosi vya serikali Sudan Kusini vyashambulia kwa bomu kambi ya kiongozi wa upinzani Riek Machar

Hali ya wasiwasi inaongezeka tena nchini Sudan Kusini licha ya wito wa kuheshimiwa makubaliano ya amani.