Vikosi vya Jeshi la Yemeni vyashambulia meli za kivita za Marekani mara ya tatu katika masaa 48

Vikosi vya Jeshi la Yemeni vimetangaza shambulio jingine dhidi ya vikosi vya Marekani katika eneo la Bahari ya Shamu, vikitumia makombora na ndege zisizo na rubani ili kuzuia shambulio tarajiwa la Marekani dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *