Vikosi vya Israel vimevamia nyumba ya mhubiri wa Msikiti wa Al-Aqsa

Wakati mashambulizi ya jeshi katili la utawala haramu wa Israel katika sehemu mbalimbali za Ukingo wa Magharibi yakiendelea kwa siku ya 30 mfululizo, vikosi vya utawala huo ghasibu vimevamia nyumba ya mhubiri wa Msikiti wa Al-Aqsa, Sheikh Ekrima Sabri.