#VIDEO:Baadhi ya wananchi waliohudhuria Maonesho ya Nane Nane 2024 katika Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, wamesema Nane Nane …

#VIDEO:Baadhi ya wananchi waliohudhuria Maonesho ya Nane Nane 2024 katika Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, wamesema Nane Nane ya Mwaka huu imekuwa na maandalizi makubwa zaidi tofauti na miaka iliyopita, kuanzia kwenye mazingira lakini pia wafanyabiashara wamejitokeza kwa wingi sana na kuna vitu vingi vizuri.

Maonesho hayo yamefunguliwa na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na yanataajiwa kufungwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Agosti 08, 2024