UZINDUZI WA NEMBO YA MIAKA 50 BAKHRESA GROUP: Meneja wa Masoko @officialbakhresagroup, @ahmedjarwan akizungumza muda mfupi kabla ya utambulisho wa nembo mpya ya miaka 50 ya Bakhresa Group pamoja na muonekano mpya wa kifungashio cha Azam Ngano Bora.
#Miaka50YaBakhresaGroup #BakhresaGroup50 #BidhaaBoraZaBakhresa