UZINDUZI NEMBO YA JUBILEE YA BAKHRESA GROUP: Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa @officialbakhresagroup, Hussein Sufian akizungumza wakati wa uzinduzi wa nembo mpya ya miaka 50 ya Bakhresa Group inayoendana sambamba na uzinduzi wa kifungashio kipya cha jubilee kwenye bidhaa ya Azam Ngano Bora.
#BakhresaGroup50 #Miaka50YaBakhresaGroup #BakhresaGroup #BidhaaBoraZaBakhresa