Uwekezaji uliofanywa na serikali wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 kwenye mitambo ya kuongozea ndege nchini umechangia kuongezeka …

Uwekezaji uliofanywa na serikali wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 kwenye mitambo ya kuongozea ndege nchini umechangia kuongezeka …

Uwekezaji uliofanywa na serikali wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 kwenye mitambo ya kuongozea ndege nchini umechangia kuongezeka kwa mashirika ya ndege yanayotumia mfumo wa mawasiliano ya sauti kwa waongoza ndege ulioanza mwaka 2023.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Huduma za Uongozaji Ndege (TCAA), Flora Mwanshinga jijini DSM kwenye mkutano wa waongozaji ndege ulioongozwa na Mkurugenzi wa Udhibiti Uchumi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Daniel Malanga kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo.

Imeandaliwa na @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *