Uwanja wa Ndege wa Israel, manuwari ya Marekani zapigwa kwa makombora

Msemaji wa jeshi la Yemen ametangaza habari ya kufanyika mashambulizi ya mafanikio dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion huko Tel Aviv, mji mkuu wa wa utawala wa Kizayuni na pia dhidi ya manuwari ya kubeba ndege ya Harry Truman ya Marekani kwenye Bahari Nyekundu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *