‘Uwanja wa ndege wa Ben Gurion hautakuwa salama mpaka utakapokoma uchokozi dhidi ya Ghaza’

Vikosi vya Ulinzi vya Yemen (YAF) vimetangaza kuwa Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion wa Israel sasa hauko salama kwa usafiri wa anga na utaendelea kuwa hivyo hadi uchokozi wa utawala huo wa Kizayuni dhidi ya Ghaza utakapokomeshwa na vizuizi vya misaada lilivyoekewa eneo hilo la Palestina vitakapoondolewa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *