“Uvamizi wa Israel Syria hautayaacha salama mataifa ya Kiarabu, Kiislamu”

Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imesema kuwa, uvamizi wa Israel dhidi ya Syria ni hujuma za dhidi ya mataifa yote ya Kiarabu na Kiislamu hususan Palestina, Lebanon na Syria, na kwamba maeneo mengine ya Kiarabu hayatakuwa salama kutokana na chokochoko hizo na matokeo yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *