Uungaji mkono wa viongozi wa Afrika kwa Palestina na kulaaniwa vikali jinai za utawala wa Kizayuni

Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) wametangaza kuiunga mkono Palestina na kulaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni. Mkutano wa 38 wa Umoja wa Afrika umefanyika Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia.