Utekaji nyara wazua hofu ya kurejea kwa siku za ‘giza’ Kenya

Kutoweka kwa zaidi ya wakosoaji 80 wa serikali katika kipindi cha miezi sita iliyopita kumesababisha taharuki kubwa ya umma nchini Kenya.