Utawala wa Israel wajitoa katika Baraza la Haki za Binadamu la UN

Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametangaza kuwa utawala huo unajitoa katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.