Ushuru wa Trump wasababisha kuporomoka kwa hisa za Marekani tangu 2020 huku China, EU zikiapa kulipiza kisasi

Hisa za kimataifa zimeanguka, siku moja baada ya Rais Donald Trump kutangaza kuongeza ushuru mpya ambao unatabiriwa kuongeza bei na kupima ukuaji nchini Marekani na nje ya nchi

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *