Ushuru ni nini na kwa nini Trump anautumia?

Trump anasema – kwa hatua hizi ambazo zinazifanya bidhaa za kigeni kuwa ghali zaidi – zitasaidia wazalishaji wa Marekani na kulinda kazi zao.