
Ushuru wa forodha wa 25% wa Marekani kwenye chuma na aluminiumutatumika kuanzia Machi 12, kulingana na agizo lililotiwa saini siku ya Jumatatu, Februari 10, na Rais Donald Trump, ambaye anaendeleza vita vyake vya kibiashara na ushuru mkubwa.
Imechapishwa:
Matangazo ya kibiashara
“Nimeamua kwamba uagizaji wa bidhaa za chuma … unaleta hatari ya kuzorota kwa usalama wa taifa,” Trump ameandika katika taarifa yake, akielezea kwamba anasitisha sheria zinazotumika kwa sasa “kuanzia Machi 12.” Rais huyo kutoka chama cha Republican kametoa agizo tofauti kuhusu uagizaji wa aluminium, shirika la habari la AFP pia linaripoti.
Ushuru wa 25% wa Marekani kwa chuma na alumini utatumika kuanzia Machi 12, kulingana na agizo lililootiwa saini siku ya Jumatatu na Rais Donald Trump, ambaye anaendelea vita vyake vya kibiashara na kodi kubwa.
Taarifa zaidi zinakujaa