Ushirikiano wa madini kati ya DRC na Marekani: Ni nani atanufaika?

Marekani imesema iko wazi kuchunguza ushirikiano wa raslimali muhimu ya madini na serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo(DRC) , huku Congo ikitaka usaidizi wa Marekani katika vita vyake vinavyoendelea dhidi ya waasi wanaodhibiti “10% ya eneo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo”, kulingana na Kinshasa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *