Ushiriki wa Nigeria katika BRICS ni muhimu, kwa nini?

Uanachama wa Nigeria katika shirika la BRICS, kama “nchi mshirika” na yenye uchumi mkubwa zaidi katika bara la Afrika, ni suala muhimu na lenye taathira kwa bara hilo na mataifa yanayoinukia kiuchumi.