Urusi inasema Ulaya haina jukumu lolote katika mazungumzo ya amani ya Ukraine, huku viongozi wa Ulaya wakikutana Paris

“Sijui wanafanya nini katika meza ya mazungumzo,” anasema Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergei Lavrov.