Upepo mkali warejesha Los Angelese, Marekani, wateketeza maelfu ya hekta za ardhi

Jimbo la California, na haswa mji wa Los Angeles, kwa mara nyingine tena umekumbwa na moto mkubwa ambapo awamu hii mpya ya moto wa nyika imerejea na upepo mkali zaidi, ikiwa ni chini ya wiki mbili baada ya mji huo kuteketezwa kwa moto mkali usiozuilika ambao umeua watu wasiopungua 27 na kuharibu majengo 12,300.