Uongozi wa Klabu ya Simba umewafahamisha mashabiki na wanachama wa Klabu hiyo Kuwa Mchezo wa Fainali ya kombe la Shirikisho Dhidi ya RS Berkane utafanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar kama ilivyoamriwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF.
#StarTvUpdate