UNRWA yajibu vitisho vya Israel vya kusimamisha shughuli za shirika hilo la kimataifa

Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetoa radiamali yake kwa vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu kusitishwa shughuli za shirika hilo la Umoja wa Mataifa huko Baitul Muqaddas Mashariki.