UNRWA: Mzingiro wa Israel utasababisha baa kubwa la njaa Gaza

Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) ametahadharisha kwamba hatua ya utawala  wa Israel ya kuweka mzingiro na kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia katika Ukanda wa Gaza inapelekea eneo hilo la pwani kukaribia baa kubwa la njaa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *