UNRWA: Hali ya kiafya katika Ukanda mzima wa Gaza si ya kibinadamu

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa hali ya kiafya na kimaisha katika Ukanda wa Gaza si ya kibinadamu.