UNICEF: Watoto zaidi ya milioni moja Ghaza wamekosa misaada kwa zaidi ya mwezi mmoja

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema, watoto wa Ukanda Ghaza wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa misaada ya kibinadamu wakati huu ambazpo utawala ghasibu wa Israel umezuia kikamilifu misaada yote ya kibinadamu ya kuokoa maisha kuingiozwa katika eneo hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *