UNICEF: Asilimia 90 ya wakazi wa Ghaza wanashindwa kupata maji safi ya kunywa

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetahadharisha kuwa uhaba mkubwa wa maji katika Ukanda wa Ghaza umefikia hatua mbaya na ya maafa, kwa ababu karibu asilimia 90 ya wakazi wa eneo hilo wanashindwa kupata maji safi ya kunywa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *