UNHCR: Wakimbizi kutoka DRC wameongezeka hadi milioni moja

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limetoa ombi la dharura la msaada kufuatia ongezeko kubwa la wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, ambapo sasa zaidi ya milioni moja wanahitaji msaada katika nchi saba.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *