Unajua kwanini abiria wa safari za ndege huzuiwa kubeba ‘power bank’?

Mashirika ya ndege duniani kote yamepiga marufuku power bank kubebwa kwenye mizigo inayoingia (vitu unavyokabidhi kabla ya kupanda ndege) kwa miaka mingi kwa sababu za kiusalama.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *