UN: Zaidi ya watu milioni 30 nchini Sudan wanahitaji msaada wa haraka wa kibinadamu

Zaidi ya watu milioni 30 katika nchi iliyoathiriwa na vita ya Sudan wanahitaji msaada wa haraka wa kibinadamu huku hali ya maisha ikizidi kuwa mbaya. Haya yalielezwa jana Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *