UN: Zaidi ya 100,000 wamekimbilia nchi jirani kutokana na mapigano Congo DR

Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, zaidi ya watu 100,000 wamekimbilia nchi jirani kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya vikosi vya usalama na kundi la waasi la March 23 (M23) katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *