UN yasisitizia haja ya kuendelea kuteguliwa mabomu Libya

Timu ya Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) imesema kuwa kuna wajibu wa kuendelea na zoezi la kutegua mabomu na kuwapunguzia masaibu watoto wanaokwenda maskulini nchini humo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *