
Umoja wa Mataifa umeonya kwamba, kupunguzwa kwa kiwango cha misaada inayoingia Gaza, kutachangia idadi kubwa ya vifo miongoni mwa watoto kuendelea kuripotiwa.
Imechapishwa:
Matangazo ya kibiashara
Shirika la kuwashughulikia wa watoto wa UNICEF, katika ripoti yake ya kila mwaka limesema kupunguzwa kwa misaada inayongia ngaza kutarejesha vyuma vita vilivyopingwa kukabiliana na magonjwa yanayisababisha vifo vya watoto.
Mratibu wa shughuli za afya wa UNICEF, Fouzia Shafique, amesema kupunguzwa au kuitishwa kwa misaada kwa mataifa yanayoendelea hasa chini ya Jangwa la sahara na Kusini mwa Asia, kutachangia kuripotiwa kwa idadi kubwa ya vifo vya watoto, Fouzia akitolea mfano nchi ya Ethiopia ambayo imeendelea kuripoti ongezeko la visa vya ugonjwa wa malária miongoni mwa watoto.
Ripoti ya UNICEF, inakuja wakati huu utawala w arais wa Marekani Donald Trump, ukiwa umesitisha misaada ya Marekani ambayo imekuwa ikitolewa kupitia shirika la misaada ya USAID.