UN yaimarisha doria katika kambi za wakimbizi huku kukiwa na ongezeko la ghasia Sudan Kusini

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini sasa unashika doria usiku na mchana katika eneo la wakimbizi ambalo liko karibu na kituo chake cha kulinda amani kutokana na kuongezeka hali ya wasiwasi nchini kote.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *