UN: Mashambulio 36 ya Israel Ghaza kati ya Machi 18 hadi Aprili 9 yameua wanawake na watoto tu

Umoja wa Mataifa umesema wanawake na watoto wa Kipalestina ndio pekee waliouawa katika mashambulizi yapatayo 36 ya anga yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukada wa Ghaza tangu katikati ya mwezi Machi na kuonya kwamba mashambulizi ya kijeshi ya Israel yanahatarisha “kuendelea kuwepo Wapalestina kama jamii”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *