UN: Kila kitu kinakaribia kumalizika huko Gaza, ikiwa ni pamoja na uhai wa watu

Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa kila kitu katika Ukanda wa Gaza kinakaribia kumalizika ikiwa ni pamoja na misaada, wakati na uhai wa watu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *