UN: Inahitajika zaidi ya nusu karne kuufufua uchumi wa Syria urejee kwenye hali ya kabla ya vita

Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa Syria inahitaji muda wa zaidi ya nusu karne ili kurejea kwenye hali yake ya uchumi ya kabla ya vita angamizi vya ndani ya nchi hiyo.