UN: Hukumu ya kesi ya “uhaini” nchini Tunisia ni pigo kwa haki na uadilifu

Umoja wa Mataifa umetaja hukumu zilizotolewa dhidi ya makumi ya watu wakiwemo viongozi wa upinzani katika kesi ya “njama dhidi ya usalama wa taifa” nchini Tunisia kuwa ni “kurudisha nyuma haki na utawala wa sheria,” ukieleza kuwa kulikuwa na “matashi ya kisiasa” nyuma ya maamuzi hayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *